Kiboko Na Maboko

Kiboko alikuwa fahali katika kundi la viboko lililoishi karibu na Ziwa Naivasha katika bonde kuu la Ufa la Kenya. Kiboko alitawala kundi lake la viboko jike kukabidhi majukumu kwa Maboko. Jua jinsi Kiboko na Maboko walivyoweza kuweka amani katika familia yao.