Polly Na Freddy Kutafuta Hazina

KSh389.00

Description

Polly Na Freddy Kutafuta Hazina

Polly, yule kasuku, na Freddy, yule chura, walipata ramani iliyowaelekeza kwenye uwazi wa msituni wenye siri. Walianza safari ya kusaka hazina iliyodhaniwa kuwepo huko. Waligundua mambo mengi, wakajifunza mengi, na kupata marafiki wengi. Gundua walichokuta katika uwazi huo wa ajabu.

Pata nakala leo kwa ajili ya mtoto wako.