Add Your Heading Text Here

AHADI YA MPIRA WA KANDADA

Kila mvulana wa shule anapenda mchezo wa mpira wa kandanda. Wakati wa likizo ya shule ya Desemba, Michael alikuwa na kazi ya shule kumaliza, lakini pia alitaka kucheza kandanda. 

Siku moja, aliagizwa na mama yake, Estonia, kusoma na kupitia vitabu vitatu vya hadithi. Estonia au Mama, kama Michael anavyomwita, alimuahidi kumletea zawadi. Hakumwambia zawadi itakuwa nini.